Dell gx 270, 2.8ghz, ram 256mb, hard disk 120 gb, keyboard and mouse, and monitor flat 15 inches.
Inafanya kazi vizuri, bei 130,000/=
Kwa mawasiliano 0766714643 DSM
Tujulishane kama una magari mabovu, chuma, copper, brass, alluminium, cast, betri mbovu ya gari nk... Tuko Mabibo mwisho(beach) Dar es salaam. Pesa yako unalipwa hapohapo, bei zetu ni nzuri...
WaanaJF salaam,
Napenda kupata taarifa za upatikanaji wa plot/ kiwanja eneleo la Mbweni DSM, kiwe kimepimwa au laaa yote kwangu iko sawa tu.
Bajeti nilikua nimepanga ni 6m na 30*30 ndio...
Ewe mfanyabiashara mdogo na wakati ambae mahesabu yako unaweka kwenye daftari, huu ni mwaka wa mabadiliko, hamia kwenye system itakayo kutunzia mahesabu yako vizuri.
Natoa training ya jinsi ya...
Goodmorning brohers & sisters,
Naomba uniuzie Laptop, bajeti yangu ni laki 3. Sifa zake:
- Isiwe na tatizo lolote la kiufundi
- Iwe ni 64 bits
- Iwe na Windows 8
- Iwe ni i3 na kuendelea
Please...
offer, offer tangaza na swahiliform blog
#kwa being poa sh 20000 kwa mwezi mmoja
# ni blog ya maswala ya elimu.
# blog hii inaangaliwa na watu elfu mbili kwa Siku.
# tangaza nasi uweze...
Ewe mfanyabiashara mdogo na wakati ambae mahesabu yako unaweka kwenye daftari, huu ni mwaka wa mabadiliko, hamia kwenye system itakayo kutunzia mahesabu yako vizuri. Natoa training ya jinsi ya...
Shamba linauzwa lipo Morogorro wilaya ya Kilombero- Ifakara kijiji cha Mngeta! zipo heka 5! ni lizuri kwaajili ya kilimo cha mpunga! cocoa! etc!
Kuna access ya maji (mto) pembeni kwa iyo unaweza...
Nyumba ipo Lego /Shekilango nyuma ya Ubungo Plaza, nyumba ni kubwa ina vyumba vinne(4) kimoja master, jiko na sebule, ipo ndani ya uzio geti lako peke yako, haiingiliani na mtu.. maji 24hrs mpaka...
Natafuta nyumba nzima ya kupanga maeneo ya Ilala, Magomeni, Sinza, Kinondoni, Makumbusho, Mwenge. Iwe na hadhi na ambapo panafikika kwa gari kirahisi wakati wa masika. Mwenye habari ani PM.
Wadau naomba mniwezeshe mwenzenu kwenye huu ulimwengu wa ujasiliamali. Ninauza Mbao za mninga na Mkongo mzigo umekuja juzi tu; wahi upate super!!! Bei zinatofautiana kutokana na size. Mbao zote...
Wakuu kama hapo inavyojieleza.
Mliopo mipakani huko changamkieni fursa.
Kuna Sister wake Jamaa yangu yupo Dubai anatafuta Kiwanja ufukweni(Beach front Plot)Lake Nyasa.
4 - 5 Hectares
Weka...
Tunatangaza nafasi za kazi kwa waliosoma diploma of computer science or IT
SIFA
-Awe amemaliza chuo cha DIT & IFM
-awe na uwezo wa kufundisha masomo yafuatayo
1 .computer application
2 .pc...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.