Mobile device maker itel has entered into partnership with online retail store, Jumia, to enable customers purchase itel devices, online on Jumia?s Mobile platform every Thursday with discounts of...
Ninauza eneo, lina ukubwa wa EKARI MOJA, Eneo lipo KIMARA TEMBONI, jirani na kituo cha POLISI TEMBONI. Eneo Limezungushiwa UZIO(Fence), Lipo Umbali wa mita 400 kutoka morogoro road (dakika 8 kwa...
wakuu nauza kiwanja arusha, mtaa wa majengo , jirani na mahakama ya haki za binadamu Africa na tanapa
Details
Sqm za kiwanja - 1887
kina uzio wa ukuta
meter 100 kutoka main road
kinaweza...
Bei ni millioni 9.Ni nyumba ambayo haijapauliwa inavyumba 3,sitting 1,jiko choo na bafu na eneo la ukubwa wa heka moja.atakae hitaji nicheki kwa 0788752672
Ni engine ya Toyota Prado, inafunga kwenye hiace, surf, hilux etc.
3000CC Diesel engine, Electronic fuel injection. Haina turbo Na iko very efficient kwenye matumizi ya mafuta. Haijawahi...
Wadau
Salaam!
Nauza nyumba iliyopo katika jiji la Mwanza. Ina vyumba 3 vya kulala ambavyo 2 ni master room, jiko na sitting room.
MMILIKI: Mimi mwenyewe
MAHALI ILIPO: Mwanza city, Luchelele...
ni wale mabingwa wa kusambaza umeme wa jua na ving'amuzi aina zote popote ulipo nyanda za juu kusini
Mbeya
Iringa
Njombe
Sumbawanga/rukwa
Katavi
Ruvuma
pamoja na vitongoji vyakee...
Habari zenu wakuu. Natafuta shock absorber mbili za mbele za Suzuki Carry ya mwaka 2002. Nimetafuta maduka mengi Daressalaam na Arusha bila mafanikio. Nimezunguka na sample ya hizo shock absorber...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.