Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

CADET Hizo safi kabisa kutoka UK, MATERIAL: COTTON SIZE: 32-36 PRICE: 75,000 SHATI safi kabisa kutoka UK MATERIAL: COTTON SIZE: L-XXL PRICE: 40,000 POCHI Hizo kazi kwenu wakina mama na kina...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
nauza kitanda cha double deka juu na chini 4 by 4 mbao mkongo na magodoro yake serious buyer call 0754 577909
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wadau, natafuta fundi wa kushona ofisi ipo madale nitakuwa na mashine Za umeme kwa kuanzia. Naomba awasiliane nami kwenye Whatsapp yangu 0778080031
0 Reactions
0 Replies
747 Views
Mafuta ya Queen Elizabeth cocoa butter for sale jumla jumla na rejareja toka Uk 500mls .Bei ya rejareja sh 23500.00 jumla sh22000.00 inategemea na idadi unayotaka .Simu 0712652110 Dar
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari kuna viwanja viwili ambavyo vipo pamoja na kila kimoja ni square meter 400 bei yake kwa kila kimoja ni mil 30 kwa viwili ni millioni 60 Maeneo wilaya ya temeke,mbagala ,kibondemaji, block...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
VACANCY HEADMISTRESS Westgate Girls High School situated at Kibaha seeks to recruit a dynamicleader for the position of HeadMistress. Successful candidate will need to be ateam leader with...
0 Reactions
0 Replies
728 Views
Shamba lenye ukubwa wa heka nane linauzwa , liko eneo la tengeru chini karibu kabisa na chuo kikuu cha NELSON MANDELA, Arusha. km tatu toka barabarani, shamba limepakana na mto wenye maji kwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari, Nahitaji king'amuzi cha Azam. Mwenye nacho naomba anipm ili tuweze kupatana bei. Joel
0 Reactions
14 Replies
2K Views
simu tajwa inauzwa iko katika hali nzur,haina tatizo lolote,kama unahitaji tuwasiliane kwa 0672110065,picha ntakutumia whatapp nimeshindwa kuattach
0 Reactions
0 Replies
764 Views
Wakuu Nina Kiasi Tajwa Hapo Juu Naomba Mwenye Gari Moja Kati Ya Hizi Aniuzie
0 Reactions
0 Replies
766 Views
Habari zenu waungwana, Me ni kijana mwenye taaluma ya umeme wa majumbani, Mwenye kuhitaji fundi kwa ajili ya kufanyiwa wiring au kulekebishiwa hitilafu katika nyumba yake asisite kuwasiliana nami...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Pata kiatu chako kwa Tsh 25000 tu, kwa wale wa Dar unaletewa ulipo ila sio nyumbani kwa sh 1000, wa mkoan unatumiwa ila gharama za usafirishaji itakuwa yako. Pia biashara yangu sitaki mtu wa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
HP 15-r014tx... Core i5 1.7ghz boosted to 2.4ghz(4th Gen)... ram 4gb and hdd 1tb... 2gb Dedicated nVidia 820m Graphics Card... 15.6" LED Display #0718645833
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nauza raba jumla sh 5000 tu, kuanzia nusu dozen. Dozen zikaa kuanzia 36 inategemea na aina ya raba yenyewe. Wa Dar-es-salam unaletewa ulipo ila sio nyumbani kwa sh1000, wa mkoani unatumiwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sub-ufer iko poa ya Samsung original bei 250,000" ina na deki yake na kumeza Kama unataka nicheki Kawa 0713415537 Wa mikoani ukitaka garama yako mimi nipo dar
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wapendwa wana Jf mm ni mjasiriamali, nauza mbao kwa bei poa kabisa. Nipo buguruni. Ikiwa upo kwenye ujenzi wewe, rafiki, jirani na hata ndugu karibuni wote. Mawasiliano 0715401379.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu wa jukwaa hili..naamini mu buheri wa afya..leo nimeamua kushare na nyinyi hii taarifa kua kuna kampuni ya simu inaitwa BLUMOBILE wanatengeneza simu zinazofahamika kwa jina la...
1 Reactions
58 Replies
9K Views
Nauza mkaa kwa wauzaji wadogo wadogo na wakubwa kuanzia gunia 20 mpaka 100,ninauchoma mwenyewe . Ni pm ili tufanye biashara
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Magari ya kubeba mkaa
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Tigo pesa 280k Mpesa 170k Airtel 120k Utapata na vitabu vyake vikiwa vipya . 0712191251.
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Back
Top Bottom