Kiwanja kinauzwa -arusha

Kiwanja kinauzwa -arusha

SONGOKA

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2012
Posts
1,836
Reaction score
1,846
wakuu nauza kiwanja arusha, mtaa wa majengo , jirani na mahakama ya haki za binadamu Africa na tanapa

Details

Sqm za kiwanja - 1887

kina uzio wa ukuta

meter 100 kutoka main road

kinaweza kufaa kwa matumizi yafuatayo

-Kujenga Hotel
-kujenga ofisi
- kujenga apartments
- shopping mall
-Yard ya maroli etc

Kwa mnunuzi serious ni PM
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom