Suzuki Carry Front Shock Absorbers

Suzuki Carry Front Shock Absorbers

Brakelyn

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2009
Posts
1,181
Reaction score
522
Habari zenu wakuu. Natafuta shock absorber mbili za mbele za Suzuki Carry ya mwaka 2002. Nimetafuta maduka mengi Daressalaam na Arusha bila mafanikio. Nimezunguka na sample ya hizo shock absorber mbovu na kila nikilinganisha na zilizopo madukani hazifanani. Zinapishana urefu. Hizi za gari langu ni fupi zaidi. Naomba mwenye kufahamu wapi ntapata hizo shock absorber special kwa hii gari anisaidie. Number yangu ya simu: 0716-904626,,shukran'

BF135235_1.jpg
 
Jaribu Nairobi, SHAMASY HARDWARE,industrial area,jamaa wapo vzr Sana.wanaagiza used toka japani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom