Passo for Sale

Passo for Sale

bukoba boy

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2015
Posts
5,376
Reaction score
3,976
Nipe 7m nikuachie hii gari.hali nzuri hakuna tatizo lolote.
 

Attachments

  • 1446914604013.jpg
    1446914604013.jpg
    51.6 KB · Views: 1,534
  • 1446914615588.jpg
    1446914615588.jpg
    43.2 KB · Views: 1,382
  • 1446914625888.jpg
    1446914625888.jpg
    40 KB · Views: 1,391
  • 1446914651445.jpg
    1446914651445.jpg
    28.8 KB · Views: 1,376
Ongeza maelezo, imetembea km ngapi? wewe ni mliki wa ngapi? etc..., je unapokea 5.5 cash?
 
Ongeza maelezo, imetembea km ngapi? wewe ni mliki wa ngapi? etc..., je unapokea 5.5 cash?

Niliagiza so kibongo ni mmiliki wa kwanza,km 108000.Sasa sikiliza nipe 6.25m nikuqchie.
 
#Munawar wewe kila cku unalalamika hapa watu wasikupangie bei, ww mbona unampangia mwenzako bei? Madalali mna roho mbaya sana, hutaki mwenzako apate...Punguza chuki

Nimempangia wapi bei ??? Hivi unajielewa kweli ??? Nimeshtuka alivyoshusha bei from 7 million mpaka 6.25 million baada ya jamaa kuonyesha nia ya kununua.
 
Munawar Munawar, narudia tena Munawar siku zote mazoea ujenga tabia jaribu kupunguza jazba kwenye biashara yako ama kwenye biashara za watu wengine, nimejaribu kukufuatilia kwa kipindi kirefu kwakwel una kauli ambazo sio nzuri, badilika ndugu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom