Nauza engine Toyota 5L

Nauza engine Toyota 5L

Ginner

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2011
Posts
1,576
Reaction score
2,220
Ni engine ya Toyota Prado, inafunga kwenye
attachment.php
attachment.php
hiace, surf, hilux etc.

3000CC Diesel engine, Electronic fuel injection. Haina turbo Na iko very efficient kwenye matumizi ya mafuta. Haijawahi kushushwa, ilibadilishwa valve Tu.

Bei ni 4.5 mil.

Iko tegeta Dar es salaam.
0755815174
 

Attachments

  • WP_20151115_001.jpg
    WP_20151115_001.jpg
    460.7 KB · Views: 222
  • WP_20151115_004.jpg
    WP_20151115_004.jpg
    382.6 KB · Views: 173
5L tena,mi navyojua huwa engines zenye displacement ya 3000cc huwa zinaitwa 3L
 
Kwa Toyota coding ya izi engine ndizo zilivyo.. Toleo lililoitangulia hii engine Ni 3L yenye CC 2800.. HILUX 2.8 huwa zinatumia aina hii ya engine Mara nyingi.

Matokeo ya kuboresha 3L engine ikiwa Na pamoja ya kuiongezea CC kufikia 3000 ndipo ikazaliwa 5L engine.

Ila zinafanana Sana Na 3L engine. Na spare nyingi huwa zinaingiliana
 
Naomba uweke basi hapa bei ili kama mtu anakupigia anajua anauwezo wa kununua,vinginevyo unapenda simu yako iwe busy kwa ajili ya kuulizwa tu bei
 
kwa wale wanaohitaji picha nimeittach hapo juu
 
Back
Top Bottom