R Rafia Member Joined Nov 20, 2013 Posts 26 Reaction score 2 Nov 16, 2015 #1 Tunauza ubuyu mtamu sn kutoka Zanzibar. Bei poa kabisa ni sh 1,500. Kwa watu wa moshi unaletewa popote ulipo. Bei ya visheti ni 1000
Tunauza ubuyu mtamu sn kutoka Zanzibar. Bei poa kabisa ni sh 1,500. Kwa watu wa moshi unaletewa popote ulipo. Bei ya visheti ni 1000
Governor of Bettors-GB JF-Expert Member Joined Jul 14, 2013 Posts 11,045 Reaction score 10,496 Nov 19, 2015 #2 Rafi nimependa sana packaging yako,ipo vizuri saaana. Kwa sie tulio Zanzibar tunajua ubuyu huo na faida zake. Visheti mie nakula kwa picha,sasa ukiona vinapungua unidai. Hongera kwa kuwa mjasiriamali wa kisasa,very impressed
Rafi nimependa sana packaging yako,ipo vizuri saaana. Kwa sie tulio Zanzibar tunajua ubuyu huo na faida zake. Visheti mie nakula kwa picha,sasa ukiona vinapungua unidai. Hongera kwa kuwa mjasiriamali wa kisasa,very impressed
Adharusi JF-Expert Member Joined Jan 22, 2012 Posts 14,500 Reaction score 7,431 Nov 19, 2015 #3 inapenda nivipenda visheti na ubuyu
ladyfurahia JF-Expert Member Joined May 10, 2011 Posts 14,758 Reaction score 9,592 Nov 19, 2015 #4 yaani mkuu nimependa sana packaging yako iko poa umekuwa wa tofauti sana
D Deleted_account JF-Expert Member Joined Nov 1, 2008 Posts 3,385 Reaction score 3,705 Nov 19, 2015 #5 kwa dar vp?
M mcharo2006 Member Joined Aug 20, 2015 Posts 35 Reaction score 2 Nov 19, 2015 #6 mie nataka ila niko dar nitapataje
Governor of Bettors-GB JF-Expert Member Joined Jul 14, 2013 Posts 11,045 Reaction score 10,496 Nov 19, 2015 #7 Adharusi said: inapenda nivipenda visheti na ubuyu Click to expand... Hahahah,Aiseee uroho mbaya sana,yaani Adharusi mate yanakujaa kinywani mpaka unachapia namna hii kama Muhindi anajifundisha kiswahili?
Adharusi said: inapenda nivipenda visheti na ubuyu Click to expand... Hahahah,Aiseee uroho mbaya sana,yaani Adharusi mate yanakujaa kinywani mpaka unachapia namna hii kama Muhindi anajifundisha kiswahili?