Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Iko ktk hali nzuri kabisa. bei ni 350000
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wadau mwenye printer ya cd! Haina yoyote aniuzie # Contact; 0712988560 .
0 Reactions
1 Replies
893 Views
Wakuu eneo la ekari 1.5 linauzwa kerege matumbi bei mil 45 taslim katika eneo hilo kuna banda la sqm 150 lililokamilika na jingine kama hilo halijakamilika. Pia kuna banda la sqm 55 na banda la...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Gari aina ya Vitz yenye namba CJQ inauzwa, iko kwenye hali nzuri kabisa na ina mmiliki mmoja tu tangu iliponunuliwa.Bei ni sh. 5.8M ila inaongeleka.Kwa yule serious buyer anicheck kwenye whatsaap...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
natafuta iphone 6 yenye 64 gb kama mtu anauza nahitaji
0 Reactions
0 Replies
775 Views
Wadau natafuta msichana wa kazi,awe na waadhamini wa kuaminika
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ninauza gari tajwa hapo juu Bei;Tshs14,000,000 Ni ya Mwaka 2005 Pm tuelewane
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu habari nina 10M nataka kiwanja maeneo ya kigamboni. Atleast sqm 800 Maji na umeme visiwe mbali sana.Kiwe kipo tambalale.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Samsung Galaxy Tab 2 inauzwa ipo katika hali nzuri kabisa, ni nyeusi pamoja na cover (case) lake na charger yake vyote vipo katika hali nzuri ni kama mpya kabisa...kwa Laki Tatu na nusu (350,000)...
0 Reactions
0 Replies
819 Views
Sumsung galaxy note 3 original used kwa miezi 8, haina tatizo lolote Camera:13mp Android 4.3 jelly bean Bei: tsh. Laki 6 (tsh 600,000) Location:dar es salaam Call: 0718295182 Email: emfodot@gmail.com
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ultrathin body slimmer (vibration plate) ni mashine inayosaidia: Kupunguza unene kwa njia ya kisasa, Kata mafuta yasiyo hitajika mwilini, Punguza tumbo,pata muonekano bora, Ongeza pumzi na ufanisi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
We are sellers of Dog puppies of the following breeds ( pure breed ) PRICE IS $ 450 ( negotiable if buyer can take more than one ) we are Professional breeders of these dogs but they are imported...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Karibuni katika fursa hii isiyo ya muda mrefu katika soko la Tanzania.Ni fursa nzuri ya kutumia na kuuza kahawa nzuri isiyo na caffeine na yenye mchanganyiko wa uyoga mwekundu muhimu kabisa kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Natafuta picha ya kobe akivuka barabara, ni PM tuongee
0 Reactions
15 Replies
9K Views
Habari zenu wakuu nauza mbuzi wakienyeji kwa matumizi ya nyama au kufuga wapo mbuzi 30,bei inaanzia tsh.70000 hadi laki moja.nipo singida pia naweza kusafirisha hadi mkoa mwingine.kama upo tayari...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jipatie note 3 kwa bei rahisi
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Raba kali ya mtumba inauzwa elfu themanini tu, ni namba 42. Ina muonekano mzuri kabisa sawa na mpya. Angalia picha ukiipenda ni pm tufanye biashara
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Natafuta Azam decorder inayofanya kazi kwa 50,000. Ni pm kama unacho
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Iwe core i5 Atleast 4GB ram Atleast 500GB hdd Iwe slim (nyembamba) Isiwe na michubuko We can negotiate on price kama unayo nichek kwa +255714478797
0 Reactions
3 Replies
916 Views
http://jamiiforums.com/?ref=136971
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom