Jua usiyoyajua
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 1,166
- 683
Kajumba kazuri chumba kimoja cha kulala with self toilet, sitting room kubwa, jiko zuri, mahali pa kufulia na veranda kwa ajili ya kuanikia nguo, eneo salama kabisa kando ya barabara Tabata Chang'ombe. Maji masaa 24, imeunganishwa na kisima.
Milango ya kisasa mno full tiles.
Unakaribishwa kuja kuona nipigie 0786741162 mwenye nyumba.
Karibuni
Milango ya kisasa mno full tiles.
Unakaribishwa kuja kuona nipigie 0786741162 mwenye nyumba.
Karibuni