Nina 7M Net nataka gari yenye sifa hizi

Nina 7M Net nataka gari yenye sifa hizi

MENISON

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2013
Posts
726
Reaction score
623
Ninataka gari ambayo haitumii sana mafuta ,isiwe chini sana maana nipo Lushoto kwenye milima ,spea rahisi,naombeni msaada au kama naweza agiza nje kwa hiyo hela wakuu
 
Back
Top Bottom