Nahitaji Suzuki Carry ya Kukodi kwa Ajili ya Biashara

Proud-Tanzanian

JF-Expert Member
Nov 26, 2015
217
90
Habari?

Mimi ni mfanyabiashara wa kusambaza maziwa ya Tanga Fresh hapa Dar es Salaam. Kwa sasa nimepata route mpya ya kusambaza maziwa tajwa hivyo nahitaji gari kwa ajili ya kufanyia shughuli hii.

Taratibu zote za kukodisha gari ikiwemo mkataba unaoainisha mashahidi na wadhamini kuzingatiwa.

Tafadhali wasiliana nami kupitia namba 0657 15 19 38 ikiwa upo tayari kukodisha gari tajwa ili hatua zingine ziendelee.

Karibuni wote.
 
Back
Top Bottom