Natafuta dvd kwa mlio dar ya kununua

Natafuta dvd kwa mlio dar ya kununua

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu! Nahitaji feki ya DVD ambayo haichagui DVD wala vcd nipo banana
For more info u may contact me 0656387577
Offer yangu ni elfu 30

Sorry wakuu sio feki# ni deki
Typing error
 
Singsung dh2 au 3 kwaelf 50 kko inakuhusu,nenda mtaa wa msimbazi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom