SHUKRANI

Apologise lady

JF-Expert Member
Sep 16, 2013
5,979
3,105
Habari.

Sinabudi kuwashukuru wateja wangu wote, ambao mmekuwa ni sehemu ya mimi kuwa mimi leo, mmeyabariki maisha yangu sana, mmenisupport sana, pia mmekuwa sehemu ya mimi kujiamini na kuogeza bidii,

Kwa wale ambao tulikwazana kwa namna yoyote naomba tusameheane.

Pia nawaomba tuendelee kuwa pamoja mwaka 2016.

NAWATAKIA MWAKA MPYA MWEMA NA WENYE MAFANIKIO.
 
Back
Top Bottom