Wanajukwaa natanguliza shukrani zangu
#Nampango wa kujenga nyumba. Sina uelewa mpana sana kuhusu gharama ya kujenga nyumba
# Nahitaji kujenga nyumba ya kuanzia tofali za block 2800-3000 na bati 1 isizidi 30000.
# Kiwanja tayari ninacho 30×30 tu
# mchanga na mawe 60000 kwa trip
# Budget niliyonayo ni 23mil
Je, naweza kufika sehemu gani ktk hili? Na kama nitapungukiwa, nitapungukiwa nini?