Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Raba kali ya mtumba inauzwa elfu themanini tu, ni namba 42. Ina muonekano mzuri kabisa sawa na mpya. Angalia picha ukiipenda ni pm tufanye biashara
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Natafuta Azam decorder inayofanya kazi kwa 50,000. Ni pm kama unacho
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Iwe core i5 Atleast 4GB ram Atleast 500GB hdd Iwe slim (nyembamba) Isiwe na michubuko We can negotiate on price kama unayo nichek kwa +255714478797
0 Reactions
3 Replies
916 Views
http://jamiiforums.com/?ref=136971
0 Reactions
1 Replies
1K Views
storage 6 gb camera 8 mp good condiction find me ubungo 0753014872
0 Reactions
0 Replies
892 Views
Ramani ya Nyumba nzuri na ya kisasa yenye: 1.Masterbedroom 2.Lounge/Sitting room 3.Kitchen 2.Vyumba viwili vya kulala 5. Common toilet Ikiwa na michoro yake yote yaani -Floor plan -Roof plan...
5 Reactions
198 Replies
84K Views
Kiwanja kipo.Goba Kinzudi ukubwa wa nusu heka kipo vizuri kinafikika wakati wote bei M25 maongezi yapo anayehitaji tuwasiliane 0715210298
0 Reactions
0 Replies
723 Views
Mzigo wa simu used kutoka u.k zipo samsung galaxy S3 kwa 250000 na Samsung galaxy S4 kwa 300000 kwa anayehitaji anipigie kwenye namba 0713439364
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nataka mkopo wa mbao za kenji na bati msauzi wa kawaida..kwa mfanya biashara aliyoko mwanza aweanauza mbao na bati, sio lazima ziwe msauzi nitamtangulizi pesa kidogo,boma langu lina haribika...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kipo tabata kisukulu kina ukubwa wa sqm 1515. Hati miliki safi ipo kutoka serikalini. Kinafaa kwa makazi au biashara. Huduma za umeme na maji vipo. Kipo sehemu ambayo tayari imeshajengeka sana...
0 Reactions
0 Replies
922 Views
Wadau, Mimi ni mtanzania na kwa muda mrefu nimekuwa nikijihusisha na biashara ya dawa za kienyeji,yaani kwa lugha ya kigeni,herbs katika maeneo ya kanda ya ziwa na viunga vyake. Katika biashara...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Canon IR 2318, almost new kwan imefanyakaz kidogo sana imetoa kopi kama rims15, haigeuzi, inaprint, inascan bei tshs530,000/= tu. Karibuni 0652 494919
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wanajamvi natafuta shamba la kulima maeneo ya mto luvu ambako naweza kulima kandokando ya mto mfano wa kilimo cha umwagiliaji. Kama unalo au unaweza kunisaidia kupata naomba sana. Tuwasiliane...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za jpili. Nina viwanja vitatu vipo pamoja vyenye ukubwa wa 15 x 30 sq meter, eneo la kiseke B. Maji na umeme vipo jirani kabisa na vilipo viwanja. Bei ya kuanzia ni 7m maelewano yapo kwa...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Naombeni ushaur wana JF ni wapi hapa dsm naweza kupata GPS mpya na original
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Habari zenu waungwana. Poleni saaaana na hongereni wengine kila mmoja kwa upande wake katika harakati za 'Kuisoma namba'. ---------------------------- Niende kwenye somo husika...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nahitaji fremu inayofaa kwa biashara ya mgahawa mdogo iwe Dar es salaam au Arusha sehemu yenye watu wengi. Ukipata plz PM me..
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu nauza decoder tajwa hapo juu bei ni elfu 70 Ila haina ungo maana ungo nautumia.kwa mawasiliano zaidi piga 0686979746
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Ipo mwanza mjini Bei 230 0713774746
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom