Naitaji Kito Blue Sapphire

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
12,320
11,322
Habari wadau...natumaini mu wazima wa afya...
Nilikua na uhitaji wa kito cha blue sapphire ambayo INA Pete yake either silver ama dhahabu. Mwenye ufaham ama usaidizi wa kuzipata ama wapi manunuzi
Na kwa bei gani ( genuine) basi uni-PM
ASANTE
 
Back
Top Bottom