Nauza viwanja Ilala

mfuga kuku

JF-Expert Member
Jul 14, 2014
789
589
Wana jf, nauza viwanja.
sifa zake
1. vimepimwa na vina hati miliki ya serikali kuu.
2.via ukubwa kuanzia sq. 900 hadi 1300
3.vipo msongola manispaa ya ilala hapa Dar es salaam
4.mawasiliano 0769 366 192 / 0784 535 260, piga au tuma sms.
5.sihitaji Dalali.
6.Karibu kabisa na bara bara kuu inayotoka mmbande kuelekea chanika.
7.Viwanja vyote ni vizuri.
 
Nikataka kushangaa ilala bado kuna viwanja? Kumbe ni huko msongola nje ya mji kabisa.
 
Wakuu nimewasiliana na jamaa anasema square metre moja anauza kwa shilingi laki moja TZS. Kwa hivyo kiwanja cha sq metre 900 ujiandae kulipia milioni tisini TZS ( bei ya chini hiyo
).
 
Duh sqmt 1 tsh 100,000/
Huyu mleta uzi huu atakuwa ni dalali tu au kakurupuka kulileta tangazo hili
Maana kuna jamaa ana viwanja maeneo ya ukonga staki Shari tena viwanja vina hati sqmt 1 moja ana charge tsh 25000/

Tumia namba zangu kwa mawasiliano ya kutaka kujua bei, ni chek mida ya mchana.
Haupo serious na biashara ww. Sijawahi kuona bei ya kitu inakuwa confidential. Tangazo lako pia ungetutumia kwa sms basi. Nina wasiwasi ww utakuwa dalali. Kwa taarifa bei ya viwanja itaporomoka sana ktk kipindi hiki cha magufuri maana hela itakuwa ngumu na vitakuwa haviuziki kwa hizo bei zenu mnazo inflate. Kwakuwa na nyie hali kifedha itakuwa ngumu kwenu, mtalazimika kuuza kwa bei mlionunulia au chini ya hapo. That is economics.
 
Wakuu nimewasiliana na jamaa anasema square metre moja anauza kwa shilingi laki moja TZS. Kwa hivyo kiwanja cha sq metre 900 ujiandae kulipia milioni tisini TZS ( bei ya chini hiyo
).

Hapana, hujawasiliana nami, kwa mwenye uhitaji atanipigia
na nitamjulisha bei yangu kwa kiwanja chenye hati miliki ya serikali kuu.

Usiogope ndugu tuwasiliane namba zangu zote zipo hewani.
 
Haupo serious na biashara ww. Sijawahi kuona bei ya kitu inakuwa confidential. Tangazo lako pia ungetutumia kwa sms basi. Nina wasiwasi ww utakuwa dalali. Kwa taarifa bei ya viwanja itaporomoka sana ktk kipindi hiki cha magufuri maana hela itakuwa ngumu na vitakuwa haviuziki kwa hizo bei zenu mnazo inflate. Kwakuwa na nyie hali kifedha itakuwa ngumu kwenu, mtalazimika kuuza kwa bei mlionunulia au chini ya hapo. That is economics.

Nipo serious Tarakilishi,
kwa kuhakikisha hilo, kama upo dar nipo tayari kukupeleka,
Mimi si dalali wala biashara ya udalali siijui, na huwa sipendi kuwatumia
madalali huwa wanafanya biashara kuwa ngumu.
 
Hapana, hujawasiliana nami, kwa mwenye uhitaji atanipigia
na nitamjulisha bei yangu kwa kiwanja chenye hati miliki ya serikali kuu.

Usiogope ndugu tuwasiliane namba zangu zote zipo hewani.
Acha uongo mkuu, hata mimi nimekupigia simu umesema bei ni laki moja kwa sqm.
 
Duh sqmt 1 tsh 100,000/
Huyu mleta uzi huu atakuwa ni dalali tu au kakurupuka kulileta tangazo hili
Maana kuna jamaa ana viwanja maeneo ya ukonga staki Shari tena viwanja vina hati sqmt 1 moja ana charge tsh 25000/

mimi sio dalali,
na usidanganye watu, hujawasiliana na mimi.
 
Wewe utakuwa ni dalali tu kwani kuna ubaya gani ukidalalia kitu!kama mali syo yako kuwa open tu
Hata manispaa huwa wana dalali viwanja vya watu wakiviuzaga
Tatizo humu jf kuna mijitu inajifanya inajua deal lkn ni bogus tu....
Kama mali ni yako weka kila kitu hadharani weka na bei iwe wazi kila mtu afahamu
 
Back
Top Bottom