Mwenye kujua bei ya machine ya kukamua alizeti

Mr Hero

JF-Expert Member
Jun 11, 2015
5,540
7,452
Amani kwa wote!!

ndugu zangu mwenye kujua bei ya hizi machine za alizeti naomba anijulishe hapa na wapi naweza kuzipata kwa hapa kwetu kwa nyerere,pamoja na machine ndogo ya kuoka mikate BAKERY natanguliza shukraan
 
Back
Top Bottom