MITSUBISHI RVR GDI INAUZWA

kimyakya mbwele

Senior Member
Oct 15, 2007
134
261
Gari pichani inauzwa 2m. mawasiliano 0755092734
 

Attachments

  • IMG_20160102_135955.JPG
    IMG_20160102_135955.JPG
    42.6 KB · Views: 63
Gari inauzwa bei ndogo kuliko pkpk aina ya Fekon??? Mbona ulilikata ukauza screpa unaweza kupata iyo ela?

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Najua litakuwa bovu tu ( yaani kuna kitu kitakuwa hakiko sawa kwenye hiyo gari ) lakini kwangu sio kesi ngoja nikapeleleze kuhusu spea zake na kila kinachohusu hiyo gari and zen n'takutafuta.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom