Nahitaji smartphone isiyozidi laki mmoja

Zuoo zimejaa kariakoo ila angalia isijekuwa feki maana wataifungia
Bora uende Vodashop or tigo utapata ya 85000/-
 
zipo za tigo, voda na airtel sikukuu hii, chagua tu mtandao unaotaka, unapata vitu vyote + warranty, bila kusahau ofa kadhaa za kukusogeza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom