Rent TZS 800,000/Month
Payment Terms: Yearly in advance
Area: Dar Es Salaam
Directions: Namanga
4m x7m long. Ally Hassan Mwinyi Road. Private luku and car parking at the front.
To view...
Ina vyumba vitatu vya kulala kimojawapo kikiwa masta. Jiko la wastani, sebure na sehemu ya kulia chakula. Katika uzio zipo apartment mbili zote kwa sasa zipo wazi. Kodi yake tshs 1.2 kwa mwezi...
Ina vyumba vitatu vya kulala kimojawapo kikiwa masta. Jiko la wastani, sebure na sehemu ya kulia chakula. Katika uzio zipo apartment mbili zote kwa sasa zipo wazi. Kodi yake tshs 1.2 kwa mwezi...
Nimehamia Dar kikazi hivyo nimeonelea badala ya kuvibeba vitu vya ndani bora niviuze. Call 0767555147
LAKI TANO (Mazungumzo yapo)
LAKI NANE
LAKI TATU
LAKI TANO
LAKI MBILI
ELFU HAMSINI...
Wadau wa humu jukwaan, nauza shamba langu lipo kisarawe kijiji cha kisanga. Lina ekari 8 rutuba ya kutosha halijalimwa muda mrefu. Bei ni 16 milioni maelewano yapo.
Wakuu katika kuperuzi tradecarview nikakutana na seller walioko singapore. Nikavutiwa na gharama zao maana inaonesha gharama za usafiri ni ndogo sana na hivyo CIF ni ndogo ikilinganishwa na gari...
Ndugu wana JF
Natoa fursa ingine ya ajira kwa watanzania wenzangu
Medical Doctor anahitajika,
Mahali pa kazi ,,,,DAR ES SALAAM
KAMA UNAPATIKANA TUWASILAIANE 0764 763 427
ASANTENI.
Ili kuepukana na kimbunga cha bomoa bomoa za kila siku, nunua shamba sehemu ya uhakika na Salama.
Nina shamba linauzwa kuanzia heka 1 hadi 15 eneo la Kidomole umbali wa kilometa 14 tu toka...
Habari yenu wakuu,
Kuna nyumba inauzwa, Kipo Msingwa Shule Mbezi ya Kimara Dar es saam.
Kiwanja kina ukubwa wa 23 kwa 13.
Bei ya nyumba ni Mil 30 (millioni thelathini).
Kwa maelewano zaidi...
MJN ni wauzaji wa Vitenge na Viatu vya kike kwa bei ya jumla pia kwa kushirikiana na JITA mobile school wanatoa mafunzo ya ujasiriamali kama kutengeneza batiki na sabuni za aina zote mafuta...