Shamba/viwanja vinauzwa Bagamoyo

Miwatamu

JF-Expert Member
Oct 2, 2012
1,450
488
Ili kuepukana na kimbunga cha bomoa bomoa za kila siku, nunua shamba sehemu ya uhakika na Salama.

Nina shamba linauzwa kuanzia heka 1 hadi 15 eneo la Kidomole umbali wa kilometa 14 tu toka Bagamoyo mjini Barbara mpya ya Bagamoyo - msata.
Eneo hilo ni zuri sana kwa makazi na shughuli nyingine za ukulima na ufugaji. Bei ni poa kabisa kwa kila heka.
Kwa mawasiliano piga 0712953433.
 
Process za upimaji zinafanyika baada ya kuridhia na kukua unahitaji heka ngapi kwani shamba ni kubwa. Na ukipenda baada ya makubaliano na kuleta watu wa ardhi ndio unaweza kumalizia malipo. Sehemu ni nzuri sana. Kwa maelezo zaidi Nipigie simu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom