Nayatafuta Malimao

Nayatafuta Malimao

Mlalahoi Mlalahai

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2015
Posts
399
Reaction score
149
Tafadhali wadau, nayatafuta malimao popote yanapopatikana, kama huko ulipo yanapatikana kwa wingi tuwasiliane
 
Kumbe ulinielewa, now tatizo liko wp kwenye hii mitandao kinacho takiwa ni kuelewa
 
Khaa!! Haya yalitumika sana wakati wa kampeni yameadimika kwa sasa. Hata hivyo muulize mshenga ana habari zake 😎
 
Unanikumbusha enzi kuzungusha mikono, nilizungusha vya kutosha ili nisije juyala hayo madude, ila duuuu
 
Waulize kingunge na sumaye maana walikuja kununua mpaka miti yenyewe huku mkuranga kipindi cha kutangaza matokeo ya uraisi.
 
Tafadhali wadau, nayatafuta malimao popote yanapopatikana, kama huko ulipo yanapatikana kwa wingi tuwasiliane
Mkuu nitafute kesho nitakupa jibu kuna jamaa zangu wako mwarusembe na kimanzichana nitawauliza kama kwa sasa yanapatikana kwa wingi.
Je unataka uwingi wa kiasi gani
 
AISEEE WATU BADALA YA KUMULIZA ANAYATAKIA NINI HAYO MALIMAO KILA MTU CHAKE
 
Back
Top Bottom