Kacharimbe
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 216
- 35
Wakuu katika kuperuzi tradecarview nikakutana na seller walioko singapore. Nikavutiwa na gharama zao maana inaonesha gharama za usafiri ni ndogo sana na hivyo CIF ni ndogo ikilinganishwa na gari kama hiyo toka Japan
Nikawapigia tradecarview Tanzania wakasema ni kweli huyo ni supplier wao halali
Kuhusu issue ya inspection wakasema gari ikifika itabidi nilipe 30,000 na wao wataandika barua TBS ili kuverify inspection
Hapo kwenye TBS ndo hofu, nasikia hawa jamaa ni wasumbufu mno
Naomba kama kuna aliyewahi kuagiza gari singapore anipe uzoefu. TRA nimeongea nao wamesema haina shida mradi original ya gari iwe Japan
Nisaidien jamani