Nauza shamba

zegamba180

JF-Expert Member
Oct 8, 2014
818
536
Wadau wa humu jukwaan, nauza shamba langu lipo kisarawe kijiji cha kisanga. Lina ekari 8 rutuba ya kutosha halijalimwa muda mrefu. Bei ni 16 milioni maelewano yapo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom