Mkazi wa arusha: Nauza friji, kabati, sofa, kitanda na meza quality bei chee

MZALENDOWAKWELIKWELI

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
330
210
Nimehamia Dar kikazi hivyo nimeonelea badala ya kuvibeba vitu vya ndani bora niviuze. Call 0767555147

attachment.php

LAKI TANO (Mazungumzo yapo)
attachment.php

LAKI NANE
attachment.php

LAKI TATU
attachment.php

LAKI TANO
attachment.php

LAKI MBILI

attachment.php

ELFU HAMSINI

MAZUNGUMZO YAPO.
 
Attachments

  • FRIJI LG.jpg
    FRIJI LG.jpg
    55.2 KB · Views: 1,343
  • KABATI LA NGUO.jpg
    KABATI LA NGUO.jpg
    77.8 KB · Views: 2,310
  • SOFA.jpg
    SOFA.jpg
    67.8 KB · Views: 1,598
  • KABATI LA VYOMBO.jpg
    KABATI LA VYOMBO.jpg
    93.2 KB · Views: 1,911
  • KABATI LA JIKONI.jpg
    KABATI LA JIKONI.jpg
    93.6 KB · Views: 1,853
  • MEZA YA COMP.jpg
    MEZA YA COMP.jpg
    52.7 KB · Views: 1,601
Last edited:
Mkuu simple questions hizo saman zote n za mbao! Au n zile mbao za kichina, kama za mbao ntajie aina za mbao nione nashawishika vp?
 
Mkuu simple questions hizo saman zote n za mbao! Au n zile mbao za kichina, kama za mbao ntajie aina za mbao nione nashawishika vp?

Kabati ya nguo na vyombo ni MNINGA (HARD WOOD) 100% nakupa na guarantee ya miaka 10 na zaidi. Kabati la Jikoni ni Mvule. Friji ni LG Very high quality.
 
Friji imetumika kwa mda gani na je uliipata ikiwa brand ama used....

Makabati umesema ni mninga.. Naogopa hii statement yako maana kwa Arusha mninga ni very expensive na haipatikani kirahisi. Hivo usingeuza kwa bei hio hata kama ina miaka mitano.

*mninga sio mweupe na hata kimwonekano hizo kabati ni kama mbao ya mruka ama mkalitusi.
 
Kabati ya nguo na vyombo ni MNINGA (HARD WOOD) 100% nakupa na guarantee ya miaka 10 na zaidi. Kabati la Jikoni ni Mvule. Friji ni LG Very high quality.
Dah! Maana yake ni kwa wa Arusha tu, kama wa Dar tukivitaka itabidi uje navyo!
Aiseee, kwa nini usifanye kautafiti ukaja na samani zako Dar, sidhani kama itazidi 1.5 mil, kuna makampuni yanasafirisha bidhaa, sema uwe na imani nao! Naona una vifaa vya ukweli, kujaanza upya Dar huo mninga unakufaa sana.
 
Ushauri mzuri sana.... Arusha to Dar ni safari ya siku moja tu. Hivyo vitu anaweza kusafiri navyo. Labda tu awe amevichoka
 
Back
Top Bottom