Pikipiki inauzwa

Nahonyo

JF-Expert Member
Dec 28, 2012
5,495
5,284
Pikipiki inauzwa aina Fecon imetumika miezi michache tu, na haijawahi tumika kama bodaboda bali ni usafi wa kwenda kibaruani tu. Piga 0629835504
IMG-20160106-WA0003.jpg
IMG-20160106-WA0002.jpg
IMG-20160106-WA0004.jpg
IMG-20160106-WA0001.jpg
 
Atakuwa ameishiwa mb
Ukweli pikipiki hiyo ni ya rafiki yangu, anataraji kwenda nnje ya nchi kikazi, huenda akakaa mwaka mmoja na nusu. Ameona bora aiuze maana alikua akiitumia mwenyewe tu, bei nilimsikia anataja tsh. 1,300,000 ila naamini ukimpa ml 1. Anachukua. Mimi ameniomba tu nimtafutie wateja no ya simu niliyoiweka ni ya kwake.
 
hujatueleza lakini kama imeshaua mara ngapi mkuu. halafu naomba kuuliza hapo ipo " show room " au ni sebuleni kwako tu? kuna watu mna vituko vya makusudi sana humu duniani.
hahahahahhaaaaaaaaaaaa jamani aiseee hapo ni showroom kwake jamani kwani huoni hapo mbele kuna kiti
 
Ukweli pikipiki hiyo ni ya rafiki yangu, anataraji kwenda nnje ya nchi kikazi, huenda akakaa mwaka mmoja na nusu. Ameona bora aiuze maana alikua akiitumia mwenyewe tu, bei nilimsikia anataja tsh. 1,300,000 ila naamini ukimpa ml 1. Anachukua. Mimi ameniomba tu nimtafutie wateja no ya simu niliyoiweka ni ya kwake.
mi nina laki saba,,uko dar?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom