Kitomai
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 1,062
- 299
Ina vyumba vitatu vya kulala kimojawapo kikiwa masta. Jiko la wastani, sebure na sehemu ya kulia chakula. Katika uzio zipo apartment mbili zote kwa sasa zipo wazi. Kodi yake tshs 1.2 kwa mwezi kwa moja. Ukihitaji kuziona tuwasiliane kupitia namba hii ya simu 0784225000.