Habari, nauza simu tajwa, imetumika miezi 6. Ni original, haina mikwaruzo, haina tatizo la aina yoyote. Nina vifaa vyake vyote, pamoja na box. Ninataka kubadilisha simu. Bei ya kuuzia isiyopungua ni Tshs 199,000. Unaweza nipata kwa 0712223881. Asanteni