geoffrey makoye
Member
- Jan 21, 2016
- 7
- 3
Wana jamii wenzangu, kuna Nyumba napangisha, vyumba 2, sebule,dinning, choo na bafu, jiko na stoo, nafasi ya kutosha nje na uzio. Iko Mto kijichi kabla ya Neruka Sec ukitokea Bwawani, baada tu ya njia ya kwenda Lutheran Church mbele kidogo kushoto. Kama kuna mhitaji tuwasiliane tafadhari. 0712 477976. ( house owner).