Identity cards (vitambulisho)

Identity cards (vitambulisho)

kholo

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2011
Posts
413
Reaction score
76
Habari zenu wanajamvi, Nahitaji designer wa vitambulisho(ID) vya wafanyakazi wa kampuni. Anayeweza au kujua tafadhali tuwasiliane kwa 0655001170/0754844098.

Nipo tegeta Dar es salaam.

Ahsanteni.
 
Nenda DELFINA, barabara ya Mwai Kibaki,baada ya mataa ya kuongozea magari Morocco
 
Habari zenu wanajamvi, Nahitaji designer wa vitambulisho(ID) vya wafanyakazi wa kampuni. Anayeweza au kujua tafadhali tuwasiliane kwa 0655001170/0754844098.

Nipo tegeta Dar es salaam.

Ahsanteni.
Mcheki huyo jamaaa hapo
 
Back
Top Bottom