Ninauza Toyota Land Cruiser 10 Mil

billz949

JF-Expert Member
Jul 14, 2013
311
71
Kama title inavyojieleza, ninauza gari tajwa ikawa haina shida yoyote na sifa zifuatazo
manual gear
H1z engine
model ya 1992
4wd
Gari iko dar kigamboni. Check picha na Kama utapenda kuona gari nitafute tuarrange.
DSC_0341.jpg
DSC_0344.jpg

Tuwasiliane kwa 0656497469
 
Back
Top Bottom