Wanaopenda kujenga mapinga vipo viwanja vi 4 vinauzwa vya ukubwa tofauti kuna vyenye sqm 1200 na sqm 825.......vyenye sqm 1200 vinauzwa m16. Na sqm 825 vinauzwa m14. vyote vipo kwenye hatua ya...
tutakutana eneo la fursa,ntakupa mchanganuo wa awali.baada ya ela yako kurudi.kama utapenda tufanye pamoja kama parners tutafanyaja pamoja.eneo ni pwani.mradi wa huakika.kwa maelezo zaidi karibu...
Top 4 na base 2 pamoja na rec yake naiuza iko complete...sijautumia Sana na vifaa vyote vino ktk hali nzuri Sana..
Bei t
Yake ni million 7,fursa kwa wale wanaotaka na kujua biashara ya ukodishaji...
Wadau
Nahitaji kununua maharage kwa wingi kwa biashara endelevu hasa toka mikoa ya Mbeya ,Arusha,Ruvuma ,hasa kutoka kwa wanaolima mashamba makubwa , kama uko serious ni pm ,au piga namba...
Kiwanja kinauzwa maeneo ya Mbande mwembe bamia, temeke Dar es salaam. Milioni 11. Kinafaa kwa flemu kwa kuwa kiko karibu na barabara ya mtaa au unaweza jenga na nyumba. Ni kilomita karibia na moja...
kwa anayehitaji kununua asali ya nyuki wakubwa, tunauza kwa jumla sh 220,000 kwa dumu la lita 20. Yapo madumu zaidi ya 50 kama utahitaji nyingi. Kwa wanaotaka kujiongezea kipato wanaweza kununua...
Habari za leo?
Kuna nyumba inapangisha vyumba viwili vya kulala,utashea jiko na bafu na choo na familia nyingine moja.
Vyumba vipo maeneo ya Tanesco,Tanga mjini.
Bei ni 90,000/= kwa mwezi kwa...
Tunatoa huduma zifuatazo:
1. Tunaandika katiba za Makampuni na NGOs
2. Tunaandika Business plans za biashara, makampuni na NGOs
3. Tunaandika Memorandum and Articles of Association za makampuni...