Viwanja vinauzwa Mapinga

bizzle for shizzle

JF-Expert Member
Dec 22, 2014
1,012
741
Wanaopenda kujenga mapinga vipo viwanja vi 4 vinauzwa vya ukubwa tofauti kuna vyenye sqm 1200 na sqm 825.......vyenye sqm 1200 vinauzwa m16. Na sqm 825 vinauzwa m14. vyote vipo kwenye hatua ya mwisho ya kupatiwa hatimiliki atakaye nunua atakabidhiwa hati kabla ya kukamilisha malipo........kutoka barabara ya lami mpaka eneo la viwanja ni km 5. FOR MORE INFORMATION CALL THIS NO 0712464777
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom