zegamba180
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 818
- 536
kwa anayehitaji kununua asali ya nyuki wakubwa, tunauza kwa jumla sh 220,000 kwa dumu la lita 20. Yapo madumu zaidi ya 50 kama utahitaji nyingi. Kwa wanaotaka kujiongezea kipato wanaweza kununua dumu la lita 20, kisha wakauza kwa lita sh 12,000, nusu lita 6,000. Usiogope maongezi yapo kama utataka nyingi zaidi. Tuwasiliane kwa 0714888689