Kwa wanaohitaji kuandaliwa Researches na Dissertations

Kwa wanaohitaji kuandaliwa Researches na Dissertations

Tomahawk

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2015
Posts
236
Reaction score
245
Kwa yeyote anaeitaji msaada wa kuandaliwa researches na Dissertations kwa undergraduates na postgraduates ani PM.
 
Nitakutafuta kijana kuna mwiba umenikwama...just need polishing
 
Tatizo la ajira laweza kupelekea uhalifu
 
tupia namba mkuu! hata bungeni wapo Maprofesa uchwara! Ma-dr uchwara hadi wenye masters za kuokota vijiweni! Tupia No. Mkuu!
 
Ndio maana siku hizi kuna Tofauti kati ya Kutafuta Degree na Kuchukua Degree.....Vijana wengi wanaenda Vyuoni kuchukua Degree na sio kutafuta Degree.
 
Wewe na ukilaza wako hata specialization yako husemi halafu usome thesis ya mtu sidanganyiki
 
duu!...hivi kumbe huwa zinaandikwa uswazi?....sasa hivi utasikia anayetaka figo anione[emoji16]
 
Ukishaandika unahitimu wewe au mwandikiwa?
 
modes Invisible Moderator Paw na wengineo ifike wakati nyuzi za aina hii muwe mnazifunga within a second. Hii ni sawa tu na anaekuja hapa akatangaza anauza mihadarati ili wateja wanunue,je uzi wake mngeuacha uwe hewani?. hii biashara anayotangaza huyu mkuu ni HARAMU sawa na mihadarati. nyuzi za aina hii ni nyingi humu.tumechoka nazo lakini pia zinaua vijana wetu wasomi wanakuwa "vihiyo". tukiwanyamazia wafanyabiashara hawa, mwisho wa siku hawa hawa ndio watakaotutibu hospitalini wakiwa wamefanyiwa research ili wahitimu.je haya si mauaji?enough is enough......imetosha. ILI MAOVU YAENDELEE, NI KWA WATU WEMA KUTOFANYA LOLOTE. Tukinyamaza na nyinyi msipochukua hatua basi uovu utaendelea! we have done our part,play yours!
 
Kwa yeyote anaeitaji msaada wa kuandaliwa researches na Dissertations kwa undergraduates na postgraduates ani PM.
Kilasiku watu wanalalama taaluma inashuka kumbe wewe ni miongoni mwa washusha taaluma. Hebu tieni Ban malamoja hii kiumbe
 
Kwa yeyote anaeitaji msaada wa kuandaliwa researches na Dissertations kwa undergraduates na postgraduates ani PM.

Hahahah kwa hyo lugha hata sitaki, "researches na dissertations" ni kingereza gan?
 
wewe unatakiwa ufungwe mara moja sikutegemea kuna watu wenye akili kama zako nyie ndio mnauza mitihani
 
Back
Top Bottom