tutakutana eneo la fursa,ntakupa mchanganuo wa awali.baada ya ela yako kurudi.kama utapenda tufanye pamoja kama parners tutafanyaja pamoja.eneo ni pwani.mradi wa huakika.kwa maelezo zaidi karibu pm.pia tutawekeana conditions ili kuwepo na hali ya kuaminiana.
ipo hivi.ninalo eneo eka nne na kiasi cha kuanzia kidogo.ni mradi wa nyanya ukiwa na eka moja pamoja na gharama zote kuzitoa za vibarua kupalilia na dawa.unauwezo faida milioni 6 kwa mienzi mitatu .ukipiga hesabu kwa eka nne inakuja milion24..tayari nina eneo na kiasi kidogo cha kuanzia naitaji mdau ambaye atakua tayari tuyajenge pamoja.