Salon yakike iliyopo Sinza inauzwa, ikiwa na kila kitu ndani, sababu zakuuza, Mmiliki ameamua kurudi kwao Congo DRC, Maana Magufuli hataki tena wageni.
Sifa za saloni, inakila kitu, namaanisha...
H and D Cleaning Company ni Kampuni inayojihusisha na usafi katika maeneo haya-
Usafi wa Nyumba
Usafi wa Bustani
Usafi unapohama au kuhamia makazi
Kusafisha madirisha
Usafi wa Jikoni na...
Habari wakuu?ninauza bidhaa tajwa hapo.Iko katika hali bora kabisa.Nauza shilingi 50,000.Bidhaa hii dukani inauzwa 75,000 ni kile cha antena.Sababu ya kuuza ni kuwa kwa sasa ving`amuzi lazima...
Kama kichwa kilivyo hapo juu,
Natumai hili jukwaa watu wengi wanapitia hapa, natafuta chumba cha kuishi ni Morogoro mjini maeneo karibu na Morogoro secondary.
Shukrani wadau natumai mutanisaidia.
Salamu kwenu nyote..
Goba ni Eneo ndani ya wilaya ya Kinondoni linaloendelea kwa kasi, vijana wenzangu tuungane tujenge miji/boma zetu Goba.
Viwanja vipo vya size tofauti utakayo hitaji kwa...
Acer mpya
Ram 2GB
Hard disk 500GB
processor: inter (R)celeron cpu N2840 @ 2.16ghz
bei Laki 5
Toshiba
Ram 2GB
Hard disk 500gb
Bei Laki 4
Npo ubungo riverside tuwasiliane 0654314066
0768240404...
Hi everyone!!! Me nikijana nimeamua kujiingiza kwenye ujasiliamari kidogo...ninatoa huduma ya malazi kwa bei rahis sana...vyumba ni vya kisasa kabisa vyenye heater inayotoa maji moto, kitanda cha...
Salamu sana wana jamii wote.
Marafiki wa Moshi, Arusha na mikoa ya Jirani kwa anayetaka matunda ya mapenshen, yanatumika sana kwa kutengeneza juice, awasiliane na 0712042967 au 0715885672 mzigo...
Wakuu nimekuwa nikisoma kuwa engine za D4 si nzuri katika mazingira yetu. Sasa nimeona kuna gari zina D4 vtti. Naomba kujua kama hizi engine ni tofauti na D4
Asanteni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.