Vyumba vinapangishwa Tanga mjini

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
8,157
13,379
Habari za leo?

Kuna nyumba inapangisha vyumba viwili vya kulala,utashea jiko na bafu na choo na familia nyingine moja.
Vyumba vipo maeneo ya Tanesco,Tanga mjini.
Bei ni 90,000/= kwa mwezi kwa vyumba viwili,inatakiwa ulipe si chini ya miezi sita.
Umeme,maji,geti na parking vinapatikana.
Nimeshindwa kuapload picha,ila ukiwa unahitaji niambie!
 
Biashara ya kupanga nyumba/vyumba unaona kwanza nyumba,ukiiipenda ndio unatoa pesa na kuingia ndani,sasa utatapeliwa vipi,au uliambiwa ulipe kabla ya kuiona kwa tigopesa,airtelmoney nk??
Tufahamishe ulitapeliwa vipi kwenye issue ya kupanga nyumba/vyumba?? Tujifunze toka kwako!!!!!!!!!!!

Ha Ha!! Mbuzi Kwenye Gunia Hapana, Tumeshatapeliwa Sana Mkuu!! Tuma Picha
 
Habari za leo?

Kuna nyumba inapangisha vyumba viwili vya kulala,utashea jiko na bafu na choo na familia nyingine moja.
Vyumba vipo maeneo ya Tanesco,Tanga mjini.
Bei ni 90,000/= kwa mwezi kwa vyumba viwili,inatakiwa ulipe si chini ya miezi sita.
Umeme,maji,geti na parking vinapatikana.
Nimeshindwa kuapload picha,ila ukiwa unahitaji niambie!

Mawasiliano: 0713260027
Omba muongozo ujue namna ya ku upload picture usiuze mbuzi kwenye gunia
 
Vp masharti katika nyumba,mfano kama mwanaume usilete totos,au kuingia mwisho muda fulani.Tusifanye lile au hili?
 
Nyumba ipo karibu na Tanesco makao makuu ya mkoa na kanda ya kaskazini,ni jirani na huduma zote za kijamii kama soko,shule,hospitali,barabara,benki,nk ni umbali usiozidi mita mia mbili ka kila huduma tajwa hapo juu.

Huduma nyingine za dharura zinapatikana around?
 
Masharti ni ya kawaida kama nyumba nyingine ikiwa ni pamoja na kuweka mazingira safi na kulipa pango na bills za maji na umeme kwa wakati.
Mengine yanaongeleka baada ya kuona vyumba.

Vp masharti katika nyumba,mfano kama mwanaume usilete totos,au kuingia mwisho muda fulani.Tusifanye lile au hili?
 
Back
Top Bottom