Nahitaji kununua maharage kwa wingi

Zamazamani

JF-Expert Member
Jun 13, 2008
1,865
782
Wadau
Nahitaji kununua maharage kwa wingi kwa biashara endelevu hasa toka mikoa ya Mbeya ,Arusha,Ruvuma ,hasa kutoka kwa wanaolima mashamba makubwa , kama uko serious ni pm ,au piga namba 0628036857
karibuni
 
mkuu maharage yale ya njano ya bukoba huyataki? mazuri sana ya december mwaka jana..
unataka tani ngapi?
 
nitakujibu ndani ya siku chache zijazo.....tuna malizia logistics halafu nitakuwambia tutahitaji tani ngapi..ni biashara endelevu....naomba pia contacts zako just incase
 
Back
Top Bottom