Kiwanja kinauzwa maeneo ya Mbande mwembe bamia, temeke Dar es salaam. Milioni 11. Kinafaa kwa flemu kwa kuwa kiko karibu na barabara ya mtaa au unaweza jenga na nyumba. Ni kilomita karibia na moja kuufikia uwanja wa azam sports club Karibu..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.