Nauza gari Nissan Primera rangi yake ni Maroun. Engine capacity ni 1990cc.
Fuel: petrol
Imported in 2012 from Japan ..
No accident history
Location.... Dar es salaam
Price.. 9 millions...
Htc one m8-680k
Htc one max-650k
Htc one m7-380k
Htc one x-270k
Htc desire 816-500k
Htc desire 500-280k
Htc desire eye-730k
Htc one sv-210k
Htc one v-180k
LG gflex-570k
LG g3-580k
LG G2-380k...
Shirika la ndege la taifa la umoja wa falme za nchi za kiarabu la Etihad limefurahishwa na ufanisi na utendaji wa operesheni zake kwa mwaka wa 2015 zilizowafanikisha kufikia malengo yao ya ukuaji...
VIWANJA/PLOTS ZENYE UKUBWA WA SIZE TOFAUTI TOFAUTI ZINAUZWA ,SIZE YA MWISHO NI 18M X 18M NA KUENDELEA..BEI NI MAELEWANO,ENEO PAME PIMWA NA KILA PLOTS INA BARA BARA YAKE.ENEO NI TAMBARARE NI...
ERA Teachers' College
Je., wewe ni mtanzania mwenye kuhitaji kujiendeleza kimasomo na kuweza kuwa miongoni mwa watu wenye kujihakikishia nafasi ya ajira??
Courses zitolewazo ni, Ordinary diploma...
Nyumba IPO kijichi Temeke INA vyumba self 1, room 2, sitting na dinning room, fensi, maji pamoja na tank
IPO barabarani na umbali wa mita 100 kutoka stendi ya daladala. Kodi laki 3 kamili...
Nimedunduliza pesa ya kuweza kununua pikipiki kwa ajili ya biashara ya bodaboda ila nimefanya uchunguzi mdogo kwa watu wachache wanasema ninunue pikipiki za sanlg/sunlg ...
Je ni pikipiki gani...
Habari wana jukwaa!
Natafuta nyumba ya kupanga iwe na sebule, jiko, vyumba atleast kuanzia viwili kimoja kiwe master, na public toilet. Iwe maeneo ya ubungo, kimara au mbezi. Isizidi laki mbili...
Nimefanikiwa kufungua kampuni inayoshughulika na uondowaji wa mizigo inayoingia na kutoka(import and export) bandarini kwa bei inayoendana na hitaji la mteja kwa anaehitaji tunaweza kuwasiliana...
I have three project.
One is located at Kimbiji kwa chale 45 kms from ferry the second is at puna 48 kms from ferry both are on the ocean side within 1.5kms while some plots are beach plots.
The...
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza.tuliinunua kwa matumizi ya familia baadae tukaona tuisajili kama daladala.lengo la kuuza ni kwamba tunahitaji kuagiza nissan civilian hvyo tumefikiria kuuza...