Mwenye hitaji la clearance ya mizigo bandarini

tidav

JF-Expert Member
Mar 31, 2013
262
40
Nimefanikiwa kufungua kampuni inayoshughulika na uondowaji wa mizigo inayoingia na kutoka(import and export) bandarini kwa bei inayoendana na hitaji la mteja kwa anaehitaji tunaweza kuwasiliana 0716300776
 
habari...naomba kuuliza juu ya mzigo bandarin ...mfano mtu kanunua gari nje then likafika hapo bandarini je malipo yanakuaje mfano kanunua toyota ist ya mwaka 2002...natanguliza shukrani
 
Bado haijaanza kupata matenda ndugu ndo imepata lessen mwezi january
 
Ukiagiza gari yako ikifika bandarini inatakiwa kulipiwa kodi iliyogawanywa katika sehemu tatu kutokana na thamani ya manunuzi(invoice value). Vat=18%, import duty=25% na exercise duty ambayo hutegemea engine capacity kwa mfano gari isiozidi 500cc=0% gari isiozidi 2000cc=5% na inayozidi 2000cc=10%. Pia kodi hii huwa ina additional charges za uchakavu wa gari yaani year of manufacture.
 
asante kwa huu uchanganuzi mkuu je hiyo additional charges huwa kiasi gani mfano gari la 2000 vitz 1380cc kimakadirio na baada ya hapo gharama zako zipoje thanks kwa kufungua kampuni tunapenda sana kununua vitu nje shida ulanguzi na urasimu uliopo bandarini HAISHANGAZI MMEAGIZA KITU SAWA WEWE UKLIPIA KUBWA MWENZIO KIDOGO KWANINI HIZI KODI ZISIWE FIXED
 
Nimefanikiwa kufungua kampuni inayoshughulika na uondowaji wa mizigo inayoingia na kutoka(import and export) bandarini kwa bei inayoendana na hitaji la mteja kwa anaehitaji tunaweza kuwasiliana 0716300776
Ni wakati wa uwazi huu, weka bei hadharani ili watu waweze kulinganisha na ama kukukimbilia au kukutosa.
 
Pl
Ukiagiza gari yako ikifika bandarini inatakiwa kulipiwa kodi iliyogawanywa katika sehemu tatu kutokana na thamani ya manunuzi(invoice value). Vat=18%, import duty=25% na exercise duty ambayo hutegemea engine capacity kwa mfano gari isiozidi 500cc=0% gari isiozidi 2000cc=5% na inayozidi 2000cc=10%. Pia kodi hii huwa ina additional charges za uchakavu wa gari yaani year of manufacture.
Pia kuna Wharfage fees na shipping line fees mbali na ile ya Wakala wa Forodha
 
asante kwa huu uchanganuzi mkuu je hiyo additional charges huwa kiasi gani mfano gari la 2000 vitz 1380cc kimakadirio na baada ya hapo gharama zako zipoje thanks kwa kufungua kampuni tunapenda sana kununua vitu nje shida ulanguzi na urasimu uliopo bandarini HAISHANGAZI MMEAGIZA KITU SAWA WEWE UKLIPIA KUBWA MWENZIO KIDOGO KWANINI HIZI KODI ZISIWE FIXED
tembelea www.tra.go.tz then >>>>>>>>>>>>>tools and calculators ili uweze kujua gharama za kodi za kila gari
 
Nikweli kaka kwa gari uliyoitaja inaumri zaidi ya miaka 10 toka imetengenezwa wataichaji 30% kama kodi ya uchakavu
 
asanteee mkuu maana huwa nikizipiga kikokotozi chao TRA naona unaenda nje bado ya gharama kununulia au wana include zote usafiri na ununuzi ndio inakadiriwa katika hizi % wanazocharge
na vipi kwenu nyinyi watoaji bandarini charges zenu
 
Ndio kaka so hapo unabidi ujumlishe hivi vat=18% +import duty=25% +engine capacity=10% + additional charge=30% sawa na 83% ya CIF. Nmetumia gari uliyo itaja ta mwaka 2000 mkuu
 
Nimefanikiwa kufungua kampuni inayoshughulika na uondowaji wa mizigo inayoingia na kutoka(import and export) bandarini kwa bei inayoendana na hitaji la mteja kwa anaehitaji tunaweza kuwasiliana 0716300776

Naomba unisaidie taratibu gani nifuate kwani niliagiza gari japan kufika dar ikapigwa mnada na agent alinificha
 
Ndio kaka so hapo unabidi ujumlishe hivi vat=18% +import duty=25% +engine capacity=10% + additional charge=30% sawa na 83% ya CIF. Nmetumia gari uliyo itaja ta mwaka 2000 mkuu

asnte mkuu nimekupata hiyo 30% ni kwa ujumla au kila mwaka uliozidi baada ya miaka kumi unatoa 30%
 
Gari ikiwa ina umri wa miaka minane na isizidi miaka kumi itachajiwa 15%
 
Nimefanikiwa kufungua kampuni inayoshughulika na uondowaji wa mizigo inayoingia na kutoka(import and export) bandarini kwa bei inayoendana na hitaji la mteja kwa anaehitaji tunaweza kuwasiliana 0716300776
Boss naleta cv
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom