Osaba
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 1,937
- 777
Nishauza sana vigari hivyo kwa hela hiyohiyo na wateja wangu wakubwa wako hapahapa DarDuh! Ngoja waje wenye hela zao. Ila nauhakika hiyo gari utauza mkoani. Hakuna mtu wa Dar atanunua gari no B esp kwa hela hiyo... Mimi nimeshauza vigari vingi vilivyotumika. Na nikiweka Tangazo kama hivi nikongea na mteja kwenye simu kwanza namuuliza ni wa mkoa gani. Akinijibu kuwa ni wa Dar najua tu huyo anafanya window shopping. But akipiga simu mtu wa mkoani, najua huyo ana mean bizness.
Imekimbia km ngapi?Sipendi utani kwenye biashara zangu kama vipi ungepita kimya tuu
Mara nyingi wa dares salaam ni middlemen anataka akauze, ndo maana ataulizia vitu vingi sana kuhusu gari ili kuhakikisha ni gari inayouzika kirahisi.Duh! Ngoja waje wenye hela zao. Ila nauhakika hiyo gari utauza mkoani. Hakuna mtu wa Dar atanunua gari no B esp kwa hela hiyo... Mimi nimeshauza vigari vingi vilivyotumika. Na nikiweka Tangazo kama hivi nikongea na mteja kwenye simu kwanza namuuliza ni wa mkoa gani. Akinijibu kuwa ni wa Dar najua tu huyo anafanya window shopping. But akipiga simu mtu wa mkoani, najua huyo ana mean bizness.