lumia21
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 273
- 252
ERA Teachers' College
Je., wewe ni mtanzania mwenye kuhitaji kujiendeleza kimasomo na kuweza kuwa miongoni mwa watu wenye kujihakikishia nafasi ya ajira??
Courses zitolewazo ni, Ordinary diploma in primary education (inservice na pre services) Kama jibu lako ndiyo bhasi jua hujachelewa, fika chuoni ERA kilichopo manispaa ya Bukoba mjini...uweze kujisajili mapeeeeema..., fika na vyeti vyako vya elimu ya aina yoyote ile bila kusahau kile cha kidato cha nne.Kwa maelezo zaidi piga simu namba 0762924998
KARIBU SANA