VIWANJA/PLOTS ZENYE UKUBWA WA SIZE TOFAUTI TOFAUTI ZINAUZWA ,SIZE YA MWISHO NI 18M X 18M NA KUENDELEA..BEI NI MAELEWANO,ENEO PAME PIMWA NA KILA PLOTS INA BARA BARA YAKE.ENEO NI TAMBARARE NI KUNAJEGWA NYUMBA ZA KISASA.
hivyo viwanja vimepimwa kimita au kifuti?
na je vinatambulika wizarani wizara ya ardhi ?
je hakuna matatizo ya hivyo viwanja mana siku hz tunaogopa kununua tukijenga tuje kuvunjiwa nyumba
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.