Nyumba inapangishwa self contained 1,room2. ipo kijichi temeke

mjasiriamali mdogo

JF-Expert Member
Mar 15, 2013
256
103
Nyumba IPO kijichi Temeke INA vyumba self 1, room 2, sitting na dinning room, fensi, maji pamoja na tank
IPO barabarani na umbali wa mita 100 kutoka stendi ya daladala. Kodi laki 3 kamili haipungui.
Mawasiliano piga 0628571749
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom