J Jassbein Member Feb 8, 2013 40 1 Feb 1, 2016 #1 Habar zenu watanzania. Naomba kwa anaejua bei ya kioo cha galaxy s4 anijulishe. Nawatakia kila la kher
Habar zenu watanzania. Naomba kwa anaejua bei ya kioo cha galaxy s4 anijulishe. Nawatakia kila la kher
malimingiii JF-Expert Member Nov 20, 2013 967 1,334 Feb 1, 2016 #3 Kioo cha juu tu au mpaka kile chenye wino?
Gilbert A Massawe JF-Expert Member May 14, 2015 4,912 3,991 Feb 1, 2016 #4 Laki mbili pamoja na fundi
M mke mdogo Member Jan 5, 2016 26 5 Feb 2, 2016 #5 Mimi nina s4 imekufa charger system njooo nikuuuzie
J Jassbein Member Feb 8, 2013 40 1 Feb 5, 2016 Thread starter #8 Asanten kwa majibu yenu. N wap nitakipata?