Nimedunduliza pesa ya kuweza kununua pikipiki kwa ajili ya biashara ya bodaboda ila nimefanya uchunguzi mdogo kwa watu wachache wanasema ninunue pikipiki za sanlg/sunlg ...
Je ni pikipiki gani nzuri naweza nunua kwa ajili ya bodaboda?? Je maduka yake yapo wapi kwa dar??
Je inatembea kilometers ngapi kwa lita moja ya mafuta?
Je ni pikipiki gani nzuri kati ya sanlg na sunlg maana majina hayo yamenichanganya imekuwa kama Samsung na simsung.....
Natumaini nipata majibu sahihi kutoka wadau wa secta hii ya biashara.